tanzania yapanda kwa nafasi kutoka 137 hadi 131.
kidogo mwanga kwa timu yetu ya taifa waanza kuonekana.
jiunge group la SUN POWER sports la facebook kwa habari na matukio mbalimbali ya kimichezo.
RATIBA YA FA HATUA YA ROBO FAINAL
*ALLIANCE vs YANGA
*KAGERA SUGAR vs AZAM
*KMC vs AFRICAN LYON
*LIPUL vs SINGIDA UNITED
***
NUSU FAINAL
<*>LIPUL/SINGIDA UNITED vs ALIANCE/YANGA
<*>KMC/AFRICAN LYON vs KAGERA SUGER/AZAM
%%%
nani kubeba ASFC {FA CUP} hapo??? tiririsha utabiri wako hapa
mara paap! kikosi cha TANZANIA vs UGANDA hiki hapa.
1. AISHI MANULA
2. HASAN KESSY
3. MOHAMED HUSEN
4. BANDA
5. KELVIN YONDANI
6. JONAS MKUDE
7. SIMONI MSUVA
8. SALUM ABUBAKAR "SUREBOY"
9. MBWANA SAMATA
10. IBRAHM AJIB
11. CHILUNDA
SUB
BENO KAKOLANYA
PAUL GODFREY
GADIEL MAIKO
ABDALAH SHAIB...
mechi imemalizika kwa mnyama kupokea kichapo cha bao 2 kwa 1 kutoka kwa timu ya bandari. ni timu ya tatu kwa tanzania kupoteza nafasi ya kunyakua kombe la sportpesa.
imebaki mbao fc ambayo ndio timu pekee inayopeperusha bendera ya tanzania katika michuano hii ya sportpesa...
nini utabiri wako...
kikosi cha simba dhidi ya fc leopard
muda: saa 10:15
uwanja wa taifa
kikosi
1. AISHI MANULA
2. ZANA COULIBALLY
3. RASHIDI JUMA
4. LAMINE MORO
5. PASCAL WAWA
6. JONAS MKUDE
7. HASAN DILUNGA
8. HARUNA NIYONZMA
9. HUNLEDE KISSIMBO
10. EMANUEL OKWI
11. CLOTUS CHAMA
SUB
1. DEO MUNISH
2. GYAN
3...
FT: singida 0 vs 1 bandari
FT: yanga 2 vs 3 kariobangi
timu mbili za tanzania tayari zimeaga mashindano haya ya sportpesa.
mechi za kesho.
mbao vs gormaia
simba vs fc leopard
nini maoni yako kuhusu mechi hizi za leo na timu hizi za tanzania kufungwa.. unadhani ni nini tatizo mpaka timu hizi...
kikosi cha yanga leo vs kariobang shark
muda: saa 10:15
stadium: uwanja wa taifa
chanel: star tv, tbc 1, ss9
kikosi.
1. klaus kindoki
2. paul godfrey
3. gadiel michael
4. andrew vicent
5. kelvin yondan
6. abdala shaibu
7. ibrahim ajibu
8. feisal salum
9. heritier makambo
10. haruna moshi
11...
nani ni straika/foward bora kuliko mwingine kati ya hawa hapa???
HERITIER MAKAMBO~YANGA,,, MEDIE KAGERE~SIMBA,,, ENOCK ATA~AZAM na AMBOKILE~MBEYA CITY.
weka ushabiki pembeni, kuwa mkwel,,, tujue the best straika/foward kati ya hao hapo..
NB:: hao straika/foward wengne nimewaacha kwa sababu...
ratiba ya kombe la sportpesa 2019..
msimu huu litatimua vumbi katika ardhi ya TANZANIA.
JUMANNE 22/1/2019
1. BANDARI vs SINGIDA (SAA 8:00 MCHANA)
2. KARIOBANG SHARK vs YANGA (SAA 10:15 JIONI)
JUMATANO 23/1/2019
1. MBAO vs GORMAHIA
(SAA 8:00 MCHANA)
2. SIMBA vs FC LEOPARD (SAA 10:15 JIONI)...
kikosi cha yanga leo dhidi ya stand united
match time: 10:00 jioni
stadium: ccm kambarage
kikosi:
1.claus kindoki
2.paul godfrey
3.gadiel michael
4.andrew vicent {dante}
5.kelvin yondan
6.abdalah shaibu {ninja}
7.mrisho ngasa
8.feisal salum
9.amis tambwe
10.haruna moshi {bobani}
11.ibrahim...
matokeo ya raundi ya kwanza
simba 3 vs 0 js saoura
al ahly 2 vs 0 as vita club
round ya pili
js saoura 1 vs 1 al ahly
as vita vs simba (saa 1 usiku)
msimamo
1.al ahly mechi 2 point 4
2.simba mechi 1 point 3
3.js saoura mechi 2 point 1
4.as vita mechi 1 point 0
nini maoni yako kuhusu mechi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.