Recent content by paul claud

  1. P

    Siungi mkono rasimu ya katiba mpya

    kwan kunatofauti gan kati ya mkaguzi wa hesabu za serkal na mhasibu mkuu?
  2. P

    Serikali moja ni wazo zuri ila nafikiri iwe hivi

    zanzibar ifutwe ili tuwe na nchi moja ya tanzania kama ilivyofutwa tanganyika
  3. P

    Kesi ya kutaka Muungano ufutwe yaanza rasmi Znz

    kama mnauwezo vunjen basi,wew ndo huutak muungano kwa ubaguz wako,wapo wazenji wengi wanataka tuwe pamoja
  4. P

    Kwenye Katiba Mpya Wapinzani Mmetuangusha Taifa! Hamna Hoja!!

    Mim nadhan ndugu malecela amepotoka,swala la serkal tatu l¨¬likua ni agenda maalum ya upinzan cuf na chadema hili lilikua kwenye hata manifesto zao za uchaguz kwahiyo nataka nikurekebishe tu kuwa upinzan haupiganii serkal tatu heti sababu ccm wataka serkal mb¨¬l
  5. P

    serikali tatu,IKULU mbili ya tatu iko wapi?

    serikal moja ndo jibu,kwa kuwa serkal ya tanganyika haipo smz nayo ifutwe halaf tuwe nchì moja Rais mmmoja
  6. P

    Kesi ya kutaka Muungano ufutwe yaanza rasmi Znz

    Sasa utake ustake muungano upo palepale ni lazma tuwasaidie msije mkageuza bara kambi ya wakimbiz .Hakuna uhusiano wa yanayotokea tarme na kuvunjika kwa muungano makiri2 n¨¬ kikundi kidogo cha wahar¨¬fu wenye imani za kishirikina ambao wao hufanya maovu hata kwa ndugu zao wala hawana...
  7. P

    Kesi ya kutaka Muungano ufutwe yaanza rasmi Znz

    Hapa sio swala la kubishana nan ni nan barubaru ila tunaongelea uhal¨¬sia zanzibar ya sasa inawekwa na muungano vinginevyo nje ya muungano zbar itakua somalia mpya ,ubaguzi mnaendesha zid ya wenyewe kwa wenyewe n¨¬ kiashiria tosha kuwa muungano ukifa tu pemba watataka nchi yao unguja nao...
  8. P

    Kesi ya kutaka Muungano ufutwe yaanza rasmi Znz

    wanaotaka muungano uvunjwe waangalie ni upande upi utaathirika,leo wanzibari wanajifanya wamoja heti wanataka nchi yao,unajua unafiki sio mzur sana mim sidhan kama wazenji ni wamoja hembu wakumbukeni wale wazee wa pemba waloenda UN heti kudai nchi yao mbaya zaidi nchi hiyo sio zanzibar ambayo...
Back
Top Bottom