Recent content by patrick kayinga

  1. P

    JamiiForums Tanzania Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Kwangu mimi naona dhambi kubwa kuliko zote ni ile ya kujiondoa uhai(Kujinyonga hadi kufa,kujipiga bastola nk) Dhambi nyingine zote,mtu anakuwa na fursa ya kupatana na Mungu kwa njia ya toba(Kutubu). Dhambi ya kujiondoa uhai inakuwa kubwa kwasababu mtu anakuwa ameondoa uhai wake mwenyewe...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

    YOHANA 1 Neno akawa mwili 1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. 2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. 3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika. 4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

    lugha ya Kiyunani Divai ina definitions 3: 1.GLUKUS(Divai ambayo ni togwa) alcohol free wine)..ni kama Ulanzi ambao ni MTOGWA. 2.LENOS(Divai ambayo imeanza process ya kuwa kileo/kuchachuka)...ni kama Ulanzi ambao ni MKANGAFU. 3.OINOS(Divai ambayo tayari imeishapitia process ya 1 & 2(yaani...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kisabato ndio wanaoiishi Injili

    Hili jambo linategemea na kanuni zinazokubalika katika jamii Wakristo tujipime kwa WAGALATIA 5:22-23"Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumili vu, wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi. Hakuna sheria inayopinga mambo kama haya. Lakini pia 1.YOHANA 4:7-8"Wapenzi, na mpendane; kwa...
Back
Top Bottom