Recent content by Patrick Emmanuel

  1. P

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    poa poa mkuu ngoja tuangalie
  2. P

    JamiiForums Tanzania TCU CAS imesha funguka sasa

    transfer zisha zingua.. sasa tugeukie upande wapili (mikopo)
  3. P

    JamiiForums Tanzania TCU CAS imesha funguka sasa

    dah mkuu, nlikua nazisubiri transfer kwa hamu yani ndo ilikua last hope alafu mambo ndokama haya
  4. P

    JamiiForums Tanzania TCU CAS imesha funguka sasa

    ndoto za udaktari zileeeeeeeee zina yoyoma
  5. P

    JamiiForums Tanzania TCU raundi ya 5

    Jamani wana JF salamaa! Mimi nauliza wale wa fifth round vipi! Maana siku zinazidi kwenda tu na majina ya mkopo ndo yashaanza kuachiliwa, sasa hawa ndugu zetu wa raundi ya tano vipi? Mwenye idea yanatoka lini atujuze!
Back
Top Bottom