Kuna sababu gani za kuchunguza mambo yaliyofanyika wakiwa kwenye madaraka? Wasituambie habari za makanikia wala almas na hyu nae akimalza muda wake asilaumiwe shame on u maccm
ukweli mchungu
Sasa tuambie kabla hapo mruma alikuwa nani kama hakuhusika kutuingiza mkenge kwenye almas. Ndo mana nyoka la makengeza lilisema mruma kamdanga Mkulu kumbe nyoka wa makengeza alikuwa anajua siri
ukweli mchungu
Hii ripoti haijawafurahisha lumumba Team kwa sababu imemtaja boss flani kupewa kipande cha almas na mzee wa nakanikia ambaye ripoti yake ilipingwa na TL mzee mruma kuonekana nayeye alipiga kwenye almas imewachanganya sana wana L umumba
ukweli mchungu
Dah kuzoa mavi ya wazee wa kizungu nishida sana. Hujui kazi zabunge kwenye hii katiba yetu yenye napungufu mengi. Mbowe wapi mbowe alisha sema haitambui Katina?
ukweli mchungu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.