Jamani tusifarijiane tukaja danganyika kirahisi. Mpaka sasa hakuna dawa yenye uwezo wa kuondoa VVU kwa mtu aliye athirika. Hii ni kutokana na tabia ya VVU ambavyo ni virusi vilivyo kwenye kundi la RETROVIRUS.
Virusi hawa kwanza wanauwezo mkubwa sana wa kujibadilishabadilisha, kiasi cha kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.