UPDATE :
Baada ya kupigiwa simu kuwa nimepata tender, nikaambiwa niwatumie Performance Securing Declaration, nikaingia website ya PPRA Nika saka sample ya hiyo doc, nikaipata, nikaedit, nikawatumia.
Wakaniambia leo atanitumia mkataba, nipo nasubir mkataba Sasa.
(Kwenye Mfumo wa Nest tayari...