Amani iwe kwenu,
Mimi ni pastor wa kanisa nililolianzisha mwenyewe miaka kadhaa iliyopita, tuna waumini mia tano na kitu, malengo ya awali yalikua ni kupata pesa, hivyo hatukua na upako ila kutokana na kupata waumini wengi na wainjilist wenye upako kuja, kanisa limebadilika na limejaa nuru na...
Nilipotoka chuo 2008 nilipata kazi yenye mshahara mdogo usioweza kufika hata tarehe 15, nikaona nitafute shughuli jioni baada ya kazi kuongeza kipato.
Mtaani kulikua na msichana mmoja Mshikaji wangu sana alikua amemaliza ualim ttc na alikua amepangwa hapo hapo mkoani, tukaamua Ku team up na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.