Habari za muda huu wakuu,nahitaji msaada wenu juu ya kampuni mpya ya uwekezaji inayojiita Foland 01, kampuni hii inamtaka mtu afungue akaunti na kuwekeza kiasi cha pesa kuanzia Tsh. 10,000 mpaka Tsh 3,000,00 kisha atachagua eidha awekeze kwa siku moja na kupewa 8% ya pesa aliyoiwekeza.
Mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.