Moja Kati ya machapisho bomba nimewahi kusoma hiki hapa Ni [emoji91]
Haya maudhui natamani yangechapishwa yakawekwa kwenye vitabu..... ubongo ulotumika sio Kb's na GB's.
Kila kiongozi ana point ya kuchukua hapa na andiko limesukwa kimkakati sana.
Ndugu Almalik Mokiwa @Political analyst kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.