Recent content by Paroko mtiifu

  1. P

    mwangaza wa Ajira

    Nina kijana wang (ME) elimu yake Diploma ya account anataman saana kupata eneo ya kujishikiza kutokana na alichosomea hata akipata haya mashirika/taasis ya mikopo sio mbaya yupo tayar kutumikia kwa uadilifu.
  2. P

    Msaada

    Nmezunguka k/koo mkuu naona bei changamano na kuna mtu kanidokeza kuna baadh wamechakachua mashine hvo ntafute yale maduka yao special ya San Lg
  3. P

    Msaada

    Nko Dar mkuu
  4. P

    Msaada

    Natafuta pkpk san lg kwa bei ya jumla au kwa anaefahamu ofice zao zilipo anijuze
  5. P

    Nahitaji kununua iliki

    Kwa 22000 kma upo tyr tufanye kaz fasta
Back
Top Bottom