Hapana ameomba proceedings kwamba anataka kuendelea na taratibu nyingine za kimahakama (proceeding meaning unataka kuendelea mbele ,mtu akisema let's proceed means tuendelee) kwa hiyo kwa upande wake atastand kushindwa kwa mediation. Na hii ni mojawapo ya hasara au disadvantage za mediation...
Hapo hakimu alitumia njia inaitwa ADR(alternative Dispute Resolution) ambayo mnatakiwa kusolve nyinyi wenywe kabla ya kuendelea na taratibu nyingine za kimahakama na hii wanafanya ili kupunguza wingi wa kesi mahakamani pale wanapoona kesi inaweza kuwa solved bila litigations za mahakamani .nyie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.