Recent content by Parabora

  1. Parabora

    Lifahamu jiji la Geneva nchini Switzerland kwa undani

    Mkuu nipo Rungwe hapa Wala usijali
  2. Parabora

    Lifahamu jiji la Geneva nchini Switzerland kwa undani

    Acha kulishwa tangopori wenyeji ndio wako free sio wageni
  3. Parabora

    Lifahamu jiji la Geneva nchini Switzerland kwa undani

    Aiseee ulinzi😄😄 🙌🏼🙌🏼 hahaha sawa mkuu na nilishapata
  4. Parabora

    Lifahamu jiji la Geneva nchini Switzerland kwa undani

    😄😄Mimi kitu ambacho hakiniathiri Wala simuathiri mwenzangu huwa hakinipi shida kabisa. na nafahamu mkuu kuna uhusiano kati ya umaskini na hasira huwa napuuza tu
  5. Parabora

    Lifahamu jiji la Geneva nchini Switzerland kwa undani

    Mkuu unaelewa lakini hapo Anness nimetoka mwezi wa 3 na nimekaguliwa ndugu wewe hizi habari zako yawezekana umegoogle umelishwa tango pori na naona unachobishana ni kilekile ninachozungumza mimi
  6. Parabora

    Lifahamu jiji la Geneva nchini Switzerland kwa undani

    Mkuu Mimi nimeshaachana nao najua Wala stress zao😃
  7. Parabora

    Lifahamu jiji la Geneva nchini Switzerland kwa undani

    Mzee pale kwa treni hazizid dk 20 au unazungumzia sehemu ipi?
  8. Parabora

    Lifahamu jiji la Geneva nchini Switzerland kwa undani

    Kutoka Anness to Cornavin unapanda ndege mbona unazingua mkuu?
  9. Parabora

    Lifahamu jiji la Geneva nchini Switzerland kwa undani

    Mzee umeelewa nilichozungumza? Hapo nimesema kwa mhamiaji
  10. Parabora

    Lifahamu jiji la Geneva nchini Switzerland kwa undani

    Sawa mkuu Mimi ni tapeli na nauza samaki hapa yombo dovya, karibu nikuhudumie
Back
Top Bottom