Recent content by Para Nawe

  1. Para Nawe

    Vipindi vya kuelimisha katika TV na Radio Stations vinaweza kuchangia Maendeleo katika jamii?

    vinatosheleza jamii? haoni kama kuna umuhimu wa kuwa na vipindi zaidi? comment yako ni yamuhimu sana ndugu...
  2. Para Nawe

    Vipindi vya kuelimisha katika TV na Radio Stations vinaweza kuchangia Maendeleo katika jamii?

    kabisa, hivi husaidia kwa kiwango chake. Je haudhani kuwa ingefaa kukawapo vipindi zaidi? mf Kipindi kuhusu Sheria na Maendeleo? afya na Maendeleo n.k? najaribu kuwaza kwa maandishi....Hivyo ulivyotaja vinatosheleza na vime cover nyanja zote?
  3. Para Nawe

    Vipindi vya kuelimisha katika TV na Radio Stations vinaweza kuchangia Maendeleo katika jamii?

    Nikweli kabisa, ningefurahi ungenitajia baadhi ya vipindi Specific vinavyotoa elimu ya Ujasiriamali kwa umma
  4. Para Nawe

    Vipindi vya kuelimisha katika TV na Radio Stations vinaweza kuchangia Maendeleo katika jamii?

    Ni ukweli wa kiwango cha juu kuwa Vipindi vya TV na Radio Stations zinazo toa elimu ya uchumi, sheria, ujasiriamali, biashara, afya n.k zinachangia kwa kiasi kikubwa kubadilisha mitazamo katika jamii na pia kuchangia biashara mpya tofauti kuanzishwa. Vipindi hivi vikitumiwa vizuri inaaminika...
Back
Top Bottom