Recent content by papua

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza kwa kipindi cha miaka 10, JK kanifanya nifurahi

    Inamaana na wewe umefurahi mwenzio alipoitwa zimwi ;;;!!!? Eti hahaha unaona raha eh chunga sana
  2. P

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Kifafa cha Mimba: Fahamu Chanzo, Dalili, Tiba na Tahadhari

    Pole Mimi nilipata tatizo hilo mwaka Jana, pre eclampsia dalili za awali za kifafa cha mimba, wakaniambia hamna jinsi Ni kumtoa mtoto tu. Yani pb alikuwa juu, epigastric pain, na Protein ikawa juu. Pia nlikuwa nimevimba sana.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Blood Group

    Sio kweli AB-VE huwa Ni wachache zaidi , hata positive ab huwa Ni wachache kuliko magroup yote . O-ve Ni wengi kidogo kuliko rh -ve wote
  4. P

    JamiiForums Tanzania Blood Group

    Magroup yote ya dam Ni mazuri sema tu kuna hawa watu wenye rhesus factor negative au -ve huwa Ni wachache hivo ikitokea MTU kaishiwa damu wa group hilo huwa inasumbua kidogo hasa group AB -ve.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Je, kujamiana sana kunaleta maumivu ya Magoti?

    Mi huwa nayapata ila Mara nyingi kama cholesterol ikiwa juu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Mimi Ni Mara mbili sasa, ndo maana natafuta kutibu sio kupasuliwa.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Basi tuchukulie wewe ndo ulifanyiwa kama unabisha, ama unaropoka tu, Mimi ndo nashida hiyo na nimeomba msaada wewe unaniita nadanganya mbona huna ustarabu.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Gynaecologist ndo wa nakwambia had I ufanyiwe upasuaji , nami nataka kutibu bila upasuaji. Naonaga pia mwaka huwa anatangaza sana je huwa anayatibu kweli
  9. P

    JamiiForums Tanzania Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    OK ngoja nikuadd kwenye watsap
  10. P

    JamiiForums Tanzania Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    MziziMkavu hiyo namba naona kama ni ya nchi za nje , Hauna branch hapa Tanzania?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Athari nazopata Mimi, Ni kuharibika mimba, kuzaa watoto njiti, kupata irregular menses, maumivu ya tumbo chini ya kizazi, low libido, ndo naona matatizo makubwa hayo
  12. P

    JamiiForums Tanzania Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Sijawahi kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango
  13. P

    JamiiForums Tanzania Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Anakuwa hai lakn maranyingi anakuwa na uzito pungufu
  14. P

    JamiiForums Tanzania Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Asante definition, nimeelewa je? Yanaweza kupona kwa DAWA ama ni lazima yatolewe kwa operation? Nataka nijue kama kuna DAWA unaweza tumia na yakasinyaa.
Back
Top Bottom