Recent content by pape No1

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Daah pole sana mkuu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kuna binadamu ni wakatili sana! Yani unakula milion3 ya kijana ambae ana hustle kitaa kwa uchungu ili apate walau kazi na aweze endesha maisha hii si ni laana kabisa jamani! Bora hata angemrudishia nusu ya iyo pesa aisee
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    More than 6 millions!! Pole sana mkuu, jaribu kutafuta watu sahihi ili usiendelee kupoteza pesa. Au kama vipi jaribu kumcheki mkuu ilore
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Pamoja sana mkuu👊 ….Mungu atusaidie na sisi siku moja iwe bahat yetu uko chomboni
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kwahyo mkuu ulitoa milion3 ikaenda na ukakosa?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Ndo mm mkuu account yangu ilipata changamoto
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Imagine binti mwenyew alikua ni wa form4 tu kutoka kambi ya makutupora 😄 …kale kabint kalikua na mtu wake mzito uko yani ni full maelekezo
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Duuh kweli pesa sabuni ya roho na umaskini ni mbaya ….umenikumbusha mwaka juzi wakat nipo kweny usaili wa polisi Dodoma siku moja kabla hatujaenda kwa mkuu wa mkoa, mida ya saa4 usiku kuna binti alinitafuta akaniambia kuna nafas moja ya form6 inauzwa million2 na uyo mtu anatakiwa apatikane kabla...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Yeah nafasi yangu naona iliuzwa jamaa alikubali kunisaidia ila dakika za mwisho naona alichagua pesa kuliko utu, ungekuta nimemaliza kozi ccp mwaka jana mwezi wa11.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Yes kwa wakat ule nilibahatika kupata mtu akanishika mkono …..kwa jinsi watu walivyochafuka vyeo mabegani pale dodoma bila kua na mbuyu nisingethubutu kufika kwa mkuu wa mkoa maana nakumbuka baada ya vipimo vya afya na mabio lilipigwa panga moja takatifu vijana walilaani sana wengine waliondoka...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Tatizo kubwa ni pesa hatuna, ndomana sisi watoto wa kimasikini tunashindwa kulamba hii asali ya taifa tunaishia kuzurura tu mtaani
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Ukiwa mfatiliaji mzuri lazima uwajue wengi tu 😁
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Hahah kama mbanga wako ni brigedia general, major general, luten general au waziri wa ulinzi basi kozi ni uhakika bila kweree wenzako utawakuta usatani 😅
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Yes ni ACP Eva stesheni, kuna mdogo ake mwingine wa kike nafikir ananyota mbili kwasasa
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mkuu kwa wakati huo nilijua ccp uhakika kwahyo sikua na mazingatio hayo ya izo namba
Back
Top Bottom