Recent content by PapaTosh

  1. P

    Wana Jamii naombeni msaada wa mawazo, hawa Pmbet.co.tz niwafanyeje?

    Hii ni siku ya tatu tangu nime deposit pesa kiasi cha Tsh80,000. Kwenye account yangu ya Pmbet.co.tz. Mpaka leo siku ya tatu bado kwenye account yangu sijaiona hyo pesa, kila nikiwapigia wananiambia subiri kidogo subiri kidogo mtandao utakaa sawa. Naombeni msaada niwafanyeje?
Back
Top Bottom