Recent content by papaayenga

  1. papaayenga

    Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    Ndipo niliposema unatakiwa uwe na afya bora ya akili [emoji15][emoji15] masuala ya kuabudu mizimu sijui mkoloni kuja na dini yanahusiana na lolote katika maswali hayo 4? Halafu mbona unajichanganya sana hueleweki unacho sema. wale wanao abudu mizimu halafu kabala ya kuenezwa kwa dini kwani hao...
  2. papaayenga

    Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    tulia hii haitaji mawenge ya akili majibu yapo na wala si yangu ya mfukoni ila wale mumaizi tu ndio waelewawo.
  3. papaayenga

    Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    ndio maana nikasema yahitaji AFYA BORA YA AKILI la sivyo utatoa povu la wehu na ujuha mtupu.
  4. papaayenga

    Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    njia rahisi nikujiuliza tu ila unapojiuliza lazima uwe na akili timamu yapo maswali kama 4 hivi na zaidi 1. Mimi ni nini ? 2 na kabla ya kuwepo hapa nilipo nilikua wapi? 3, hapa nilipo ni kwa hiyari yangu na kupenda kwangu au ni nguvu fulani ilionisukumia hapa. 4, nikitoka hapa nilipo nitakwenda...
  5. papaayenga

    Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    kuyaelewa haya inahitaji afya nzuri ya akili kuzitafuta fact kwanza elewa binaadmu ni muunganiko wa vitu viwili Roho na mwili soul + body = humanbeing pia mahitaji na maisha ya binaadamu lazima yawe hivyo kimwili na kiroho ndio maana HAKUNA KUFA BALI KUNAKUHAMA THE DEPARTURE OF THE SOUL FROM BODY
  6. papaayenga

    Waislamu wanatubeba sana!!

    mama Debora uko sawa hao wengine wanao kulaumu ni wachawi au wana afya mbaya ya akili wanatumia udhaifu wa akili zao kutafsiri vibaya bandiko lako wapuuze wala wasikutie homa hiyo ndio fact wakipenda wasipende wajibu kwa hoja sio vitisho havisaidii na ni uchache wa elimu
  7. papaayenga

    Waislamu wanatubeba sana!!

    kwani Roman catholic ni nini?
  8. papaayenga

    Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    Kilanga hizo sifa za Mungu ni za kweli kabisa na hakuna kufa bali kilichopo ni kuhama ulimwengu wa kimwili kurudi ulimwengu wa kiroho kama ilivyo kua awali kabla hujaja. Hiyo safari ya kuhama ina maajabu yake Wakati anapo hama mmoja wetu kutoka ulimwengu wa kiroho kuja ulimwengu wa kimwili walio...
  9. papaayenga

    Waislamu wanatubeba sana!!

    sahihi kabisa na ukweli wake tizama idadi ya waajirwa serikalini na mshirika ya umma tizama idadi ya mawaziri makatibu wakuu manaibu katibu wakurugenzi n.k huyo dada katiza upande mmoja wa social na wealth. Hakutazama kwenye mamlaka huko ndiko walikojikita wakristo na msingi huu aliujenga...
  10. papaayenga

    Waislamu wanatubeba sana!!

    hapa hakuna kugawa kidini wewe tu jicho lako la mchungwa usimtishe Debora na usilete fitna ktk uzi wa Debora kama wewe ni mfatiliaji wa mambo Utakumbuka Mwl. Julius kambarage Nyerere katika historia yake ya kutafuta Uhuru wanchi hii alitamka wazi kabisa kua 'NILIKUA MIMI PEKEYANGU MKRISTO...
  11. papaayenga

    Waislamu wanatubeba sana!!

    naanza na prof. Asad prof Lipumba mwingine aendeleze
  12. papaayenga

    Waislamu wanatubeba sana!!

    uongo kupita kiasi lete ushahidi. chukua mfano mdogo tu siku ya ijumaa matajiri wa kiislam wanavyo lisha masikini mijini. Utayapata hayo jumapili?
  13. papaayenga

    Waislamu wanatubeba sana!!

    kwani uhindi na uarabu ndio duni yao?
  14. papaayenga

    Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    unaposema kama mungu angekuwepo asinge kufa mtu. Ndio nakuuliza hiki kifo wewe unakielewaje?
  15. papaayenga

    Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    kwani wewe kifo unakielewaje mbona unashangaza [emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom