Recent content by Papaag

  1. P

    Waliokosa mikopo elimu ya juu wapewa siku 14!

    Jamani naombeni msaada wenu maana hadi sasa nipo home. Vipi kwa sisi tulioandokiwa NOT ELLIGIBLE Tunafanyaje maana fomu hazijakosewa. Sababu ya kukosa huo mkopo ni kwamba COMPLITED SIX/DIPLOMA MORE THAN THREE YEARS BACK n nilimamiza 2010. Vilevile wengine niliomaliza nao wamepata. Nifanyeje...
  2. P

    Taarifa kwa waliotoswa na heslb

    :A S-key:Kweli wana Jf tunastahili kuendelea kuwa jamii moja kwa hili. Wanaharakati na wanaelimu wakiungana sijui itatokea nini? Ebu wakuu nielezeni
Back
Top Bottom