Maneno ya Lemueli mfalme, ujumbe mzito ambao mama yake alimwambia ili kumrekebisha. Niseme nini, ewe mwanangu, niseme nini, ewe mwana wa tumbo langu, niseme nini, ewe mwana wa nadhiri zangu. Usiwape wanawake nguvu zako za uhai, wala njia zako kwa kitu ambacho hufanya wafalme wafutiliwe mbali...