Recent content by panya john

  1. P

    JamiiForums Tanzania Je yupo wa kusaidia Tanzania kuondokana na bidha feki?

    Bidha feki zinauzwa kila duka Tanzania. Ni imani hakuna Mtanzania ambaye hajalizwa. Mimi leo hii nimeenda dukani kununua betri za kamera. Najua zile za kintazania yaani national hazina nguvu ya kuendesha kamera yangu. Mara zote nanunua duracel nikijua ni imara. Kumbe sikujua kuwa tayari wajanja...
Back
Top Bottom