Recent content by pangatulale mwadononda

  1. P

    JamiiForums Tanzania Shamba linalofaa kwa Kilimo cha matunda aina ya parachichi linauzwa

    Ni kabla hujafika Njombe mjini ukitoka iringa unashuka tanwat hospital kisha unapanda magari ya kwenda lupembe ni kilomita 60 na eneo hilo maji yapo karibu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Shamba linalofaa kwa Kilimo cha matunda aina ya parachichi linauzwa

    Haiwezekani kwa milioni mbili Eka zote arobaini, labda umegewe kipande cha Eka 20
  3. P

    JamiiForums Tanzania Shamba linalofaa kwa Kilimo cha matunda aina ya parachichi linauzwa

    Ni barabara ya Njombe - ruvuma kutoka barabara ya lami ni umbali Wa kilomita 60 barabara ya vumbi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Shamba linalofaa kwa Kilimo cha matunda aina ya parachichi linauzwa

    Lipo karibu na barabara Lina ukubwa Wa Eka 40 Bei ni tsh million 4 Lipo kijiji cha MFIRIGA Ktk tarafa ya lupembe mkoani Njombe Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0655726929 na 0784340024
Back
Top Bottom