Endeleeni kuendesha ndoto zenu na Celtel.
Hivi 2015 kauli si zilikua hizihizi?
Nawapenda sana watanzania.
Nyie mtasubiri sana. Ikulu mtaiona kwenye TV.
#SIYO KWENYE UTAWARA HUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina hasira na yeyote,ila wanatia kinyaa leo nao kujiita ni wana mageuzi,wanamabadiliko.
Nitawapongeza CHADEMA kwa kazi mija tu,nayo ni kuwafanya hawa ma PM wawili kuwa mazuzu.
Sumaye na Lowasa wamegeuzwa Joyce Wowowo wa kina Mbowe na genge lake.
Wamekaanga mbuyu wenye meno wanatafuna...
Kuwa PM haimaanishi ndo kuwa na akili timamu.
Sumaye angekuwa na akili timamu angekumbuka alikua PM.
Katika kipindi alichokua PM ndo kipindi alishiriki kuimaliza CUF,leo anatoa wapi ujasiri wa kujidai anataka kuikomboa Tanzania?
Hata CHADEMA wangekuwa na akili timamu Sumaye na Lowasa walikua...
Hivi Sumaye anaakili timamu?
Yaani ninapomuona Sumaye na Lowasa huwa nahisi kinyaa. Sumaye yupi na Lowasa yupi wa kuing'oa CCM?.
Sumaye anadhani Watanzania niwapumbavu kama baadhi ya wanachama wa chama chenu?
Watanzania wanaakili,they know nani wakumuamini.
Mkumbusheni,hasira ni hasara...
Haya yeye ameyasemea chumbani?
Anataka aandamane kwenda wapi?
Marekani wamemaliza uchaguzi,alimsikia Hilary akiitisha mikutano na maandamano?
Wao sasa ni kazi tu,wanaingiza kipato ambacho kuna wakati wanatugawia kidogo.
Sisi badala ya kutulia mgongoni,tunataka kunyoosha miguu kuwaambia...
Zanzibar haitochukuliwa kwa mabandiko humu mitandaoni,wala kwa karatasi. Zanzibar ni nchi ya kimapinduzi na itaongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe amechanganyikiwa,maisha hayapimwi kwa sukari na unga.
Tatizo la sukari lilishatolewa ufafanuzi na linashughulikiwa.
Amesahau kuwa mwaka 2011 sukari ilipanda na kufika 5000 mpaka 6000 kwa baadhi ya maeneo?
Leo awamu ya nne imekua bora kwao?,wakati wa JK walikua wakitupa mfano wa bei ya...
Akumbuke kauli yake kwa wafanya biashara wa Moshi,"ukitaka mambo yako yakunyookee,jiunge CCN",sasa huu ni upande wa pili wa kauli yake,ametoka yanamuendea kombo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeongea kweli,Mbowe na CHADEMA yake kuna saa unaeza sema akili zao ziko pale haja kubwa inapotokea,yaani kuna saa wanaongea vitu utadhani wamelogwa.
Leo madiwani wakihama CDM ni gharama au wamehongwa. Tena hawa wamehama,wao waliwafukuza. Hawakujua ni gharama kurudia uchaguzi wa mbunge...
Yaani uhoji ujinga wako then nifanye kazi ya kukupa uhakika?
Jaribu kufikiri vizuri then utaona ni jinsi gani usivyotumia akili. Ulipokua shule ulitakiwa usome sana,sasa madhara ndo haya kuanzisha vimada ya kijinga humu ili uonekane na wewe umeleta tetesi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana acha bangi!,kwanini unakaa tu nakuamua kuandika kitu kisicho na mantiki hata kidogo?
Kwanini hufikirii hata kidogo tu kabla hujaandika kitu,?
Unadhani humu kuna watu wenye akili ndogo kiasi gani kiasi cha wewe kuandika utumbo wako ukadhani utawapata malofa?
Fikiria kisha acha ujinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.