Recent content by pandemik

  1. pandemik

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Daah dua kaka!! Mungu afanye wepesi
  2. pandemik

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sikua nacheti!!! Niliattach transcript ya chuo tu.. Sijui ndo mana wakanipiga chini.. I don't know.
  3. pandemik

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wote Tulipiga pepa tu!! Pepa moja tu kwa fani zote
  4. pandemik

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Engineer kaka
  5. pandemik

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mimi niliitwaga kwenye usail uhamiaji!! Ila walinipiga chini... Nataka nijaribu safari hii!! Eeeh Mungu tufanyie wepesi safari hii[emoji24][emoji120]
  6. pandemik

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    [emoji23] [emoji23]
  7. pandemik

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwahiyo tusiojibiwa ndo tushapigwa chini daahh
  8. pandemik

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nalibaliana nawewe mkuu!! Hizo za tpdf sizan km wanatangazaga.!!! Na km mtu katoka uraian af kapata mtipidiii basi ujue ana mibuyu huyo[emoji28]
  9. pandemik

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Bora bora polisi, mana polisi wanatoaga nafasi nyingi kidogo.. Uhamiaji nafasi zao ni chache kwahyo hata probability ya kukosa ni kubwa[emoji23]
  10. pandemik

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    M nimetumia Ems mku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  11. pandemik

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mbona maelezo nayajieleza pale kabsa namna ya kutuma... Watu tuna miteru sana[emoji23]
  12. pandemik

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Yaah.. Kuna majamaa zangu kadhaa wametoboa magereza na wala hawakua na mibuyu
  13. pandemik

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwahyo hao wanaozipenda hawalipwi kila mwezi ??
Back
Top Bottom