ndug ktk hoja yako ya 2 nkwajinsi gani kinga ya mbunge inamnyima fulsa mnyonge na hoja yako ya 1 ndio raic ampewa kinga yakuto kuhukumiwa chini ya ibara ya 46 lakini kuna njia mbadala yakuzuia kutengenaza hao maraic madikteta maana ukitazama ibara ya 46A bunge limepewa nguvu ya kumshitaki raic...
Hapana kuna kitu ujakielewa ndugu ebu pitia ile ibara ya 100 ya katiba utajua kinacho maanishwa"kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu ktk bunge na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote ktk jamuhuri ya muhungano au ktk mahakama au MAHALI PENGINEPO NJE YA...
hebu panua uwanda wako wa kufikili ww yani we ukickia mahakama imecbitisha case kama hii bac wahucka walifanya mbele ya hakimu .......kumbuka kuna medical report ya weza tumika na certificate kutoka balaza la wapatanishi be open mind bwana
ndugu cjajua n tofauti gani unayoizungumzia so ungefafanua ingekua pouwaa sana ila nikukumbushekitu kimoja ktk law of marriage act imeeleza wazi kwamba each spouse owes the other a duty to consummate (sexual intercourse) the marriage and that (with certain exceptions) the incapacity of either or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.