Recent content by Panda po

  1. Panda po

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    unapatikana wapi mzee?
  2. Panda po

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie TV, redio, home theater, pasi, majiko soundbar na vingine vingi kwa bei ya store

    Zimenivutia bei mkuu sema nipo mkoani sasa ngoja niwasiliane na ndugu yangu wa Dar nijue nafanyaje. Smart imenishawishi.
  3. Panda po

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie TV, redio, home theater, pasi, majiko soundbar na vingine vingi kwa bei ya store

    Hii ambayo sio smart ngapi?
  4. Panda po

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco umuhimu wa kufungua hii nyuzi hatuuoni sasa kama maswali hamjibu.
  5. Panda po

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco hivi shida nini mita yangu kila inapofika saa 1 jioni inazima mpaka saa 2 usiku Yani Kiufupi mita yangu tangu tupitie kile kipindi cha mgao mkali wa umeme imekuwa inasumbua sana yani unaweza kuta nyumba za majirani ambao tunatumia nguzo moja umeme upo ila kwangu hakuna. Yani umeme...
Back
Top Bottom