Recent content by pamojaone

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani (CHADEMA& ACT-Wazalendo) kwenye mgomo wao na maandamano

    Kwanza wapinzani tambueni mema aliofanya Magu msikimbilie mabaya alioyafanya afu kumbukeni kuwa yeye si malaika kuna makosa pia kafanya lakini bado tunaamini kuwa ndo Musa wetu hajamilza safari lazima amalize .Nyie mnataka muingie hata ile Sgr igembaki magofu maana hamna strategies...
  2. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutangaza maandamano pekee hakutoshi, kunahitaji maandalizi. Tujiulize kwanini maandamano ya Seif Zanzibar hayakufanikiwa

    Mbona chadema kama mtoto mdogo tukipigwa tutakimbilia ICC NA BOB AMSTERDAM je ni baba yenu Tanzania tumeamua Magufuli andamana utaona kama Lissu na Mbowe watakuja kukutembelea mahabusu. Mnatishia Libya waliandamana je Libya iko wapi sasa?? Msilete utani na amani yetu .Lissu anatakiwa kuwa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

    Maalim Seif apumzike tu ndie kiini cha uovu na fujo kila uchaguzi anasisitiza fujo na chuki xio utamaduni wa kitanzania ni mbinafsi .Unapotamka neno kinywani linaleta madhara makubwa kumbuka hata dunia iliumbwa kwa kunena ,nj mtu siku zote wa shari .Siku anaacha siasaPemba itakuwa shwari...
  4. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    Ataweza kukimbia na miguu hio we don't need mzungu the so called Amsterdam kutuamulia uchaguzi wetu mawakili ni kama waganga wa kienjeji hata kama hushindi atakuambia utashinda Tunajua Lissu walikutana na huyu jamaa kuwa aje Tz atakuwa rais amlipe baadae. Sasa imebackfire sijui atalipa na nini...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Lissu kushindwa uchaguzi

    Chadema wajipange tu upya waje na sera mpya huwezi kuambia watu upuuzi
Back
Top Bottom