Katika Dunia ya leo ni wapumbavu pekee wanaohoji teuzi kwa kigezo cha dini wapumbavu hawa walikuwepo toka kipindi cha kikwete nashangaa wanaendelea kuwapo hawafanyi tafiti wanachojua ni kupandikiza chuki kati ya serikali iliyopo madarakani na kikundi flani cha wapumbavu kama wao. Dini haiwezi...
Natafuta nyumba ya haraka Tanga mjini iwe ya vyumba viwili au vitatu master, nmehamishiwa kikazi huko kama kuna dalali mzoefu kwa humu naomba anitafute kwa direct text humu au atume mawasiliano yake ntamtafuta mm..
Mtoa mada ana uhakika na analosema lkn chanzo cha habari yake ni kipi, tayari serikali imetoa waraka wa namna waliosimamishwa kupisha uhakiki watarudishwa na mwezi ujao wote watarudi maofisini kama zamani sasa sijui hii ya kufukuza ameitoa wap na tamko limetolewa na nano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.