Recent content by Pakaroad

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Arudisha Fomu Ya Kuomba Ridhaa na Kutoa Neno Lenye Busara Kubwa

    Mwigulu jimboni kwake ilamba ni KING, amelitendea Haki jimbo kuanzia miradi ya maji, barabara, huduma za afya na elimu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Arudisha Fomu Ya Kuomba Ridhaa na Kutoa Neno Lenye Busara Kubwa

    toa ushahidi kama huna NYAMAZA MILELE
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Arudisha Fomu Ya Kuomba Ridhaa na Kutoa Neno Lenye Busara Kubwa

    Mwigulu ndiye Rais, Ikulu si mwaisela mkuu
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Arudisha Fomu Ya Kuomba Ridhaa na Kutoa Neno Lenye Busara Kubwa

    Tupe kumbukumbu la jarada Lake la hayo mashitaka, kama huna UNYAMAZE MILELE
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Arudisha Fomu Ya Kuomba Ridhaa na Kutoa Neno Lenye Busara Kubwa

    Ni kweli mkuu bado kuapishwa tu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Arudisha Fomu Ya Kuomba Ridhaa na Kutoa Neno Lenye Busara Kubwa

    Kamwambie mzee wako ashike kikombe cha chai walau dakika mbili tu ndio urudi hapa
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

    January Makamba anaongelea ilani pendekezwa ya chama cha mapinduzi sijaona swala lake binafsi au kwavile yeye ndie Katibu wa kamati ya maandalizi ya Ilani pendekezwa ya ccm 2015 . Nilitegemea ataongea plan yake aliyo nayo bali anaongelea mawazo ya wenzake anaoshilikiana nao kuandaa ilani ya...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mwigulu Nchemba kuisimamisha nchi kwa mara nyingine

    Akili yako inahitaji kupigwa deki, imechafuka
  9. P

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mwigulu Nchemba kuisimamisha nchi kwa mara nyingine

    Mkuu pokea like 1000000000
  10. P

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mwigulu Nchemba kuisimamisha nchi kwa mara nyingine

    Naam naye ni MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU
  11. P

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mwigulu Nchemba kuisimamisha nchi kwa mara nyingine

    Hivi kumbe bado wapo watu wana mawazo mgando kama wewe? Akili za kuambiwa changanya na zako, Mwigulu ndiye Rais wetu 2015
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nchemba apewa ‘upako’ wa urais

    MBEYA WASEMA TWENDE NA MWIGULU URAIS 2015,ASKOFU MPANJI ASISITIZA MWIGULU ANAKWENDA KUWA RAIS WA NCHI HII. "Watu wa Mungu si Mnamkumbuka DAUDI alivyomfanya Goliati?Basi wao na Fedha zao,Wao na Uzee wao,Mwigulu na Mungu tu." Na Brandy Nelson Mwananchi. Nchemba apewa ‘upako’ wa urais...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

    BREAKING NEWS KUHUSU URAIS 2015, Urais ndani ya CCM ni Mwigulu Nchemba. (siri za vuja.) Lile fumbo la nani atakuwa mgombea wa Urais kupitia CCM imeteguliwa baada ya SIRI kuvuja kuwa anayeandaliwa ni Mwigulu Nchemba. Taarifa za ndani tulizozipata toka kwa mjumbe mzito kwenye mfumo zinasema kuwa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mabilioni Yaliyofichwa Uswisi Kutaifishwa

    Copy and paste kutoka fb kwa Mwigulu AWAMU YA TANO NI AWAMU YA KAZI. "KAZI MOJA TU KULIPELEKA TAIFA KUWA NCHI YA KIPATO CHA KATI" Kufikia hatua hii lazima mambo haya yazingatiwe 1) Lazima nchi ijitagemee kibajeti, nchi haiwezi kuwa Taifa la kipato cha kati kwa kutegemea wahisani. 2) Lazima...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Barua ya Kinana, Moto wafukuta "Makatibu,Wanec na Wanachama wawili SG katika"

    BADA YA WENYEVITI MIKOA WA CCM KUPAZA SAUTI YAO,KWENYE MAGROUP YA WASSAP HALI IMEKUWA HIVI "SAKATA LA MWIGULU KUZUIWA ZIARA" Siku chache baada ya wenyeviti wa mikoa kupinga vikali katazo la Katibu Mkuu kuwa Naibu wake bwana Mwigulu Nchemba asitishe ziara zake. Fukuto limeendelea chini kwa...
Back
Top Bottom