Recent content by Painkiller Malenga Sera

  1. Painkiller Malenga Sera

    JamiiForums Tanzania Ahsante

    Likizo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Painkiller Malenga Sera

    JamiiForums Tanzania Korona imetushinda,yatutia sononeko

    Korona imetushinda,yatutia sononeko Mazao tuliyopanda,bangi miraa tumbako Kuuza tunapoenda,wateja hawapo soko Eti ndiko kuzuia,Korona isizagae. Magunia ya makaa,tulochoma msituni Siku mbili yamekaa,stendi gari hatwoni Serikali mekataa, gari kwingia mjini Eti ndio kuzuia, Korona izisambae...
  3. Painkiller Malenga Sera

    JamiiForums Tanzania Corona ina faida

    Korona haiteui, tajiri na maskini Dunia haichagui, iuwe iache nani Waafrika hijui, wachina wamarekani Korona ina hasara, na zake faida pia Ingawa inagutusha, kwa kuuwa wengi watu Katika haya maisha, inazo faida kwetu Mwanzo imetufundisha, kunawa mikono yetu Korona ina hasara, na zake faida...
  4. Painkiller Malenga Sera

    JamiiForums Tanzania Corona ina faida

    KORONA INA FAIDA Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom