Recent content by Pacifik

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Ni Mhimu sana Kuisikiliza nafsi yako. Lkn pia mawasiliano na Mungu wako ni ya msingi sana. Haijalishi unapoabudu, lkn kama unaye Mungu umwaminiye tenga muda wa Kufunga na Kuomba juu ya jambo hilo. Mara nyingi Nafsi inapogoma kwenda popote ukailazimisha kitu kibaya hutokea. Ni mhimu sana...
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    Nakubaliana nawewe
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    Kwa nature ya jamii tuliyonayo Mwanamke tunamwona kama mtoto kwa mume wake. Hivyo, anaadhibiwa kwa matakwa ya mwanaume. Kitu kibaya sana.
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    Ni kweli. Lkn Mungu ni mwema humpatia mtu kinachomfaa. Wakufanana nawew unaweza kumpata lkn inahitaji Critical examination na msaada wa Mungu-- ili uspate batili akakuumiza
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    Hii ni nzuri sana dada Mungu akusaidie.
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    Good trait. Inakuepusha na Madhara ya Kisaikolojia kama Sonona. Unaposamehe unakuwa Huru. Keep it up.
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

  8. P

    Me ni mwanaume lkn sjafurahishwa na hiki kitendo. Huyu mama kanieleza haya yote kama mwanae kabisa akihitaji Ushauri... Nikamwomba niwashirikishe watu wengine walio na experiences maana me sijaoa. Ili tupate mawazo mengi na mazuri akakubali. Hivyo, nikaamua kuwaletea ninyi wakuu nikijua...
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    🤝🤝
  10. P

    Asante
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    Duh
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    Kwakweli anahitaji msaada zaidi wa kimaamuzi
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    Elewa mtoto wa mwisho yaani wa 5. Alikuwa na umri wa miez 9. Wa pili kutoka mwisho: maanisha wa 4 alikuwa na miaka 3.
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafanya nin kupata mchumba ninayemhitaji??

    Maana kila nikitongoza Wadada anasema yupo kwa mahusiano. Sio poa Inaniumiza kichwa sana kupata ninayemhitaji. Chaajabu kuna wadada wanaonekana kunikubali asilimia zote hata sjawatongoza, chaajabu siwaelewi wala nin. Ninaowaelewa wanawatu wao. Nifanyej??
  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    Hujanielewa. Maanisha hivi: mtoto alizaliwa miezi 9 baadae baba kaondoka.
Back
Top Bottom