Natoa shukran zangu za dhati,
Mafundi wamekuja,
Wamenibadilishia luku,
Na tatizo limeshatatuliwa,
Ahsanteni sana tanesco kwa mwitikio wa haraka,
Niwatakie kazi njema
Shukran,
Wamewasiliana nami asubuhi hii pia,
Na wamesema wanalifanyia kazi,
Nitashukuru wakibadilisha hiyo luku ili niondokane na hiyo adha ya kushindwa kuingiza Umeme
Jina: Khalid Athumani
Simu :0713830235
Mkoa:Dar Es salaam
Wilaya : Ubungo
Eneo: Goba
Jinsi ya kufika : Goba center njia inayoelekea Makongo inapoanzia lami
Alama: Kuna Tank la Maji
Tatizo : keypads za Luku ( 3,6,9&#)
Hazifanyi kazi tunashindwa kuingiza Umeme, tunaomba kubadikishiwa luku...
Nina tatizo la Mita ya Luku inagoma keypads za upande wa kulia yaani namba 3,6,9
Nimereport Ijumaa,
Mafundi wakaja Jumapili ila wamesema inasababishwa na Umeme ukiwa mdogo,
Hapo kabla tatizo hili halikuwepo na pia majirani hawana tatizo hili pia,
Naomba kubadilishiwa luku kwa kuwa hadi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.