Recent content by ozil tz

  1. O

    JamiiForums Naomba ushauri; ataweza kupata nafasi kwa shule za private?

    Nina rafiki yangu alirisit mwaka jana matokeo yake akapata Chemistry B Biology B Geography C Mathematics F Lakini kwenye cheti cha kwanza alikuwa na credit za arts pekee Ila yeye alikuwa anataka akasome CBG kwa advance level. Sasa hapo vipi anaweza pata nafasi kwa shule za private au hesabu...
  2. O

    JamiiForums Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2018

    Nina ufaulu wa Chemistry A Biology B Geography B Maths F Physics F Na masomo yaliyobaki ni C Je naweza kuchaguliwa comb ya CBG kwa shule za serikal au nitume maombi katika shule za private
Back
Top Bottom