Recent content by OutoftheBox

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kitunguu swaumu na upara

    Ni kweli vitunguu swaumu husaidia ukuaji wa nywele na hata wahindi hutumia sana hii pale ambapo nywele zao zikikatika. Lakini kuwa makini sana na uwingi wa kitunguu chako kwenye nywele na usikae nacho sana kwenye ngozi kitunguu swaumu huunguza ngozi kikitumika kingi na ukitumia kwa muda mrefu...
Back
Top Bottom