Recent content by Otuck

  1. O

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Uzuri wa hili suala ni kwamba, ukweli unazidi kudhihirika! Nimejaribu kugusa "hisia" zilizochokozwa na Zitto. Ofcozzz hakuna aliyekataa kukaguliwa. Lakini Kama umenielewa nimesema, kilicho mainstream hii ishu ya Zitto na Viongozi wa CDM ni kugusa "hisia" zao katika mambo sahihi! Well, huwa...
  2. O

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Umepewa mfano mdogo tu! Chanzo cha ku-mainstream haya yote ni Zitto kutaka hesabu za vyama (ikiwemo CDM) zikaguliwe...!!! Katika Hali ya kuonesha uzalendo. Nyie mmekalia kutetea maslahi ya chama. Mna tofauti gani na CCM!!?
  3. O

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    "Mnyamahanga!???@ 😳😳😳😳
  4. O

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    I bet there are more to come...! Nlikua nina wasiwasi na maamuzi Kama haya Kwa heshima ya Chama. Lakini Kwa hali ilipofikia, awabomoe tu na "movement for Chagga" Yao!
  5. O

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Walimzuia Zitto kugombea uwenyekiti kwenye uchaguzi wao uliopita. Ninakumbuka sana! Afu wanajiita DEMOKRASIA!! Upumbavu tu!!!
  6. O

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Hawawezi kuelewa. Wana ushabiki wa vwama maarufu! NCCR ikiwa maarufu wamo. CUF ikiwa maarufu wamo, CDM ikiwa maarufu wamo!!
  7. O

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    This is very hopeless of Tanzanians! Leo atashutumiwa Zitto Kwa kuongea hayo, bila kujali alichokiongea! Mi nlidhani alichokiongea ni very sensitive kuliko kilichomfanya aongee! We are talking about the leaders of what we call revolutionary party of the country! And you don't pay attention to...
  8. O

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Chintu!? Hujanielewa. Samahani sana Kwa hilo. Kwanza; hakuna ufisadi Zitto amefanya. Pili; tuhuma za Zitto ni za MUDa mrefu, si Kwa uongozi wa chama tu, hata Kwa wanachama ambao wamekuwa hawajui kinachoendelea. Wakimtuhumu Kuwa "amenunuliwa" na CCM. Kisa haongei sana bungeni na vitu Kama...
  9. O

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    I believe it....!!! Mbaya zaidi sio Chadema tu. ni vyama vyote vya siasa Tanzania.
  10. O

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    ....Kumbe ZZK hana akili kiasi hiki? ameyajua lini haya? na alikuwa wapi siku zote? inamaana yeye amefanya aliyofanya kwa sababu Mbowe alipokea pesa kutoka kwa Mkono? Huu ni utetezi wa ajabu kweli kutoka kwa mtu anayejinasibu kuwa makini. Ama kweli sasa naamini Zitto kachanganyikiwa. Unavuka...
  11. O

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Chama ni nini!!?? Nani atakuwa kiongozi CdM ikichukua nchi! Ndo haya haya ya CCM na Lowasa. We don't want corrupt politicians. They are the worst poison in the development of the country. Unaweka maslahi ya chama Mbele Kwa Faida ya Nani!? Chama ni chombo tu, tunahitaji watu safi. Kama ni hivyo...
  12. O

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Sorry bana! Namaanisha Yule aliyeandika kuhusu Magari ya kampeni!
Back
Top Bottom