Mara kadhaa nimekuwa nikitumia Internet ya airtel katika kufanya shughuli zangu mbalimbali kama vile katika kukata tiketi za SGR.
Aidha, hivi karibuni imekuwa tatizo katika kufanikisha upatikanaji wa tiketi za SGR na mara zote nimekuwa nikijua labda tatizo liko kwenye site ya SGR au App yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.