Recent content by orucho Daniel

  1. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Mimi na mke wangu tunaishi maeneo tofauti, ndugu wakija kunitembelea nashindwa kuwaambia hatukai pamoja

    Naombeni ushauri. Mimi nimeoa ila hatuishi karibu na mke wangu, yeye anaishi mkoa mwingine na mimi mkoa mwingine. Changamoto ninayoipitia ni kwamba yeye ameajiriwa na serikali ila mimi bado sijawa na ajira permanent Hivyo nashindwa kumhamisha na hivyo kila mtu ana kwake. Napata wakati mgumu...
Back
Top Bottom