Recent content by ortavion

  1. O

    Wauzaji wa mbao kwa bei ya jumla toka Mafinga

    Nimeshaku PM mkuu
  2. O

    Wauzaji wa mbao kwa bei ya jumla toka Mafinga

    Bei izi ni kwa Dar.....pole kwa kuchelewa kujibu
  3. O

    Wauzaji wa mbao kwa bei ya jumla toka Mafinga

    Tumeanza kuuza mbao fupi kwa bei hii: 1 by 10@15,000 kwa ubao wa futi 12 1 by 8 @ 10000 kwa ubao wa futi 12 Karibu sana
  4. O

    Tunauza Pallet kwa oda Maalum

    Tunatengeneza na kuuza Pallet kwa oda maalum, tunaanza kutengenenza 200pc kwa oda. Kwa mawasiliano zaidi 0655656565
  5. O

    Wauzaji wa mbao kwa bei ya jumla toka Mafinga

    Inawezekana mkuu...nipm na order yako nikupe gharama mkuu,Karibu sana
  6. O

    Wauzaji wa mbao kwa bei ya jumla toka Mafinga

    Nimefanya ivo Fiat
  7. O

    Wauzaji wa mbao kwa bei ya jumla toka Mafinga

    Tunauza mbao ndefu peke yake...hata ivo bei inatokana na wingi wa mbao unazotaka na ulipo kwa Tanzania! Kama utataka mbao ndefu nipe idadi kamili unayotaka ntakupa bei ambayo ni ngumu kupata kwingine.
  8. O

    Wauzaji wa mbao kwa bei ya jumla toka Mafinga

    Yard iko Bunju na ofisi iko mafinga....Kama unachukua mzigo mkubwa tunakuletea mpaka site ulipo au mkoa ulipo
  9. O

    Natafuta Mabanzi

    Kama utakua unahitaji mengi(1000 pc) naweza kukuuzia bei ya jumla...
  10. O

    Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Ukishapata makadirio basi nakukaribisha nikuuzie mbao kwa BEI YA JUMLA mkuu....Kwa maelezo zaidi piga 0655656565
  11. O

    Wauzaji wa mbao kwa bei ya jumla toka Mafinga

    Miti aina ya Pine(wengine wanaita cyprus) na mlingoti(eucalyptus).
  12. O

    Wauzaji wa mbao kwa bei ya jumla toka Mafinga

    Tunauza MBAO aina mbalimbali kwa bei ya jumla kutegemea na idadi unayotaka,mbao zote zinatokea Mafinga-Iringa. Mfano 2 by 6@ 1335 kwa futi 2 by 4@ 840 kwa futi 1 by 10@15,000 kwa ubao wa futi 12 1 by 8 @ 10000 kwa ubao wa futi 12 N.B Kwa maelezo zaidi Nipm au piga 0655 65 65 65 Karibuni
Back
Top Bottom