Recent content by Orpilis

  1. O

    Slaa mbowe,lisu,myika,lema msigwani niwaalimu wangu

    Pesa inatakasa dhambi zote hata kama umeuwa sembuse ufisadi
  2. O

    Nani wakulaumiwa katika sakata la Dr Slaa?

    Chama kina wenyewe si lazima Kila mmoja ajuwe akishajua mzee basi
  3. O

    Natabiri matukio yatakayotokea katika uchaguzi huu

    Naomba moderator usifute uzi huu wala usiuchanganye hata mimi naona hivyo
  4. O

    Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    Hamtaficha matatizo yake ya kiafya bahatimbayasana wananchi wanaona kwa machoyao wenyewe dar mbeya arusha mwanza na dar
  5. O

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Waliokuja kumsikiliza wameondoka usiku huu anamhutubia nani?
  6. O

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Njaa emewafanya hata hawawezi kumwambia mzee hapa umekosea yote sababu ya kuogopa kukosa ruzuku
  7. O

    Kila post nikifungua inakuja moja ya uzinduzi kulikoni?

    Mkono wa mzee el umefika jf
  8. O

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Ndugu Lowasa anatambua tatizo kubwa linalowalabili watanzania.katika hotuba yake ya mbeya,arusha na leo katika uzinduzi wa kampeni ni babu sea jamani hii ni shida kubwa sana
  9. O

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Kama mgombea wa urais lupitia ukawa atahutubia wananchi kwamudamfupi kwa kutumia visingizio mbalimbali kama lutanguliza waongeaji wengi nk ili watumie muda mwingi nayeye kuonge muda fupi atakuawa amejaliza. Kama ataongeakwa muda wa zaidi dakika 45 basi atakuawa kweli ameanza kampeni vizuri.muda...
  10. O

    Dhana ya Ukanda na madhara yake kwa Tanzania yetu, Kanda ya Kaskazini kuna nini?

    Unajua meku achana na hao bwana muite manka,ufoosaro,kyeku,mushi na massawe chadema ni yetu wacha waibe sisi tule
  11. O

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    lumumba the son umenifurahisha lakini watasema hao ni ccm.wao huwa hawakubali na moderator ataipangua baada yamuda
  12. O

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    jakarason1974 nafikiri jibu la swali lako utalipata kwa mgombea wa Ukawa amekua mbunge wa monduli kwa Zaidi ya miaka20 hajaweza kutatua kero za wananchi.katika elimu afya miundombinu na kadhalika
  13. O

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Kwa wenyekutumia macho wataona wenyewe uthaifu wa AFYA YAKE NA KUTOWEZA KUJIELEZA ILA KWA WANAOTUMIA MOYO KUANGALIA HAWATAONA
  14. O

    Tafadhali Lowassa: Achana na 'active politics'; Bakia mshauri wa Taifa; furahia 80% yako

    Wabinadamu wengine wana ugonjwambaya wa madaraka
Back
Top Bottom