Recent content by ormystatus

  1. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Picha: Kuku mwenye manyoya yaliyojigeuza nje ndani. Je, wanakazi Gani hasa huko ulimwenguni?

    Hawa home tulikuwa nao wa kutosha enzi hizo
  2. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    Asante sana
  3. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    As asante sana
  4. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    Asante, nitafanya hilo pia.
  5. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    Shamba lina mikorosho, Hakuna namna linaweza tosha kulima nyasi za kulisho mifugo mingi kulingana na malengo yangu.
  6. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    Haliuzwi, kama unahitaji Shamba la mikorosho lipo moja kijiji cha Maundo nilinadishiwa.
  7. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    Shukran sana
  8. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    Asante sana leaplai
  9. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    Asante Lengo si unenepeshaji tu, pia na ufugaji. Hivyo sitoweza kufuga kwa feedlot Pia, kutumia feedlot pekee itagharimu pesa nyingi ukilinganisha na kwenda machungani ukizingatia shughuli hii itafanyika mkoa wa Mtwara, ambao gharama ya vyakula ipo juu.
  10. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    Ningeweza kufanya hivyo pia, lakini napendelea kutumia majukwaa kama haya kwa faida ya wote
  11. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    Shamba tayari lina mikorosho na ishakuwa mikubwa, kuotesha nyasi itakuwa changamoto uko mbeleni mfugo utakapoongezeka.
  12. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    Asante kwa mawazo mazuri Inawezekana kufuga kwa kuwakatia malisho lakini itahitaji pesa nyingi na nguvu kazi kubwa kubwa sana kulingana na malengo yetu. Malengo ni kumiliki idadi kubwa ya mifugo hivo hili wazo linakuwa ngumu kutekeleza kama mfuko haujitoshelezi Pia nadhani Kule kusini bhado...
  13. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    Asante. Ndio nimelizingatia hilo na ndio sababu ya Sisi kusitisha taratibu za kufanya hiyo Shughuli kwenye Shamba tunalolimiliki kwa sasa
  14. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    Wallah inaonekana ulikuwa Bingwa wa Somo la Kiswahili shuleni Hujaacha hata desimali.
  15. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Laiti ningelijua mapema, nisingelinunua lile shamba

    Mimi na Mama mzazi-Business partner ambae tunatarajia kuanza ufugaji na biashara ya kunenepesha mifugo na kuuza
Back
Top Bottom