Hii ni miche ya mikomamanga meupe,inaanza kuzaa mwaka mmoja hadi miwili,ni matamu zaidi na mbegu zake laini zinatafunika...inakuwa zaidi maeneo ambayo udongo wake hautuami maji.
Mche mmoja ni elfu 4500.
Tunapatikana oysterbay karibu na ccbrt
0738832076
FAIDA YAKE:
1.Lina uwezo mkubwa wa kuzuia...
Kiini cha njano,kuku wanapewa majani kila siku, hatutumii carophyl yellow kuongeza unjano
Bei ya elfu 6800(kuanzia trei 10)
Oysterbay karibu na ccbrt
0738832076
Bei inapanda na kushuka,kwa hiyo inapobadilika nabadilisha pia katika tangazo humu...hakuna sehemu ya ku edit title ya tangazo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.