Recent content by ORESTA TADEY

  1. O

    JamiiForums Tanzania Ushairi

    UKIMWITA MAMA ATAITIKA? 1 Kuna hii nasikia, ati mjomba ni mama Hii ndio nashangaa, hivi nani alisema? Kila nikifikiria, n'ona moyo waniuma Hivi ukimwita mama, ya kweli ataitika? 2.Mama mzazi wa kike, kamusi imeeleza Shida ni kwa kaka yake, waja wakajiongeza Ni huzuni tusicheke, si kitu cha...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Oresta Mhungulu, mtunzi na mwandishi wa mashairi, hadithi fupi na ndefu, hadithi za watoto na makala za kielimu na kijamii

    Mwandishi, hadithi, mshairi
Back
Top Bottom