Mwaka huu mwezi wa 7 nilifanikiwa kupata bajaji ya kwanza Kwa kudra za mwenyezi mungu, na nlitaka iwe ya mkataba. Baada ya kununua mchakato wa kupata dereva haikuwa kazi ngumu maana Kuna bro Ali recommend mdogo Ake aendeshe na ninafanya nae kazi mpaka Leo hii, mwezi September nikachkua ya pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.