Recent content by Omuyooza

  1. O

    Je, huo nao ni ushujaa?

    Ndugu Mpendazoe ni msakatonge tu na mtu asiye na msimamo. Makala zake za kuitukana serikali ya ccm akiwa chadema leo anakula matapishi yake?Mpendazoe wekeza kwenye kilimo siasa imekushinda
  2. O

    Mkurugenzi wa Manispaa Musoma adaiwa kughushi vyeti vya Shahada ya Uzamivu (PhD)

    N Nina uhakika serikali ikianza zoezi la kuhakiki vyeti over 80% ya watumishi wa umma watamwaga unga wao
  3. O

    Ni wenye akili tu wanaomwelewa Makonda katika hili!!

    Juzi tuliskia watapewa laptop, jana tukaskia nauli bure kesho jiandae kuskia watapewa uniform maalum ili hata madukani wasilipe wapewe bureeeeeee
  4. O

    Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete afiwa na kaka yake

    Pumzika kwa amani
  5. O

    Joshua Nasari ni Jipu, alikuwepo wakati Rose Odinga anadanganya

    Ila msemaji (Odinga's daughter) amekanusha tayari
Back
Top Bottom