Recent content by Omona Wanyu

  1. O

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Mtakatifu Agostino ni majanga

    Litoa mada jinga!
  2. O

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli kuhusu kamanda Malisa na CHADEMA SAUT

    Wewe ndi mkurupukaji hodari na kila siku nakwambiaga hata kwenye vikao uwage na subira hiki ndicho nilichosema kwenye post ya awali kuhusu hili sakata "Chini ya Uongozi wa Malisa na wenzake Umoja wa vyuo vya SAUT Umekuwa na picha mbaya, pesa zilitafunwa, watu wakapigana, zawadi zikaibiwa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli kuhusu kamanda Malisa na CHADEMA SAUT

    MUZEEZAIDI Najua nyingi hapo ni vitu ambavyo ni programu za Chuo kama mtu yeyote mwelewa anavyoweza kufikilia, lakini vile vile umejitahidi sana kuunda propaganda za uongo zionekane ni ukweli lakini you can not cover the smoke unveilling from the ground the rearity is rather far different! Hebu...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

    Samahani dada McCmuga!
  5. O

    JamiiForums Tanzania Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

    Pole sana dada yangu, Nashindwa hata niseme nini lakini kwakweli tunawaangusha kimsingi, inaniuma sana eti saivi kila mtu ukimgusa anadai yuko busy na kilichomleta anajiandaa na mtihani jan 28, sasa sijui wenzetu mtaishije ni balaa.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

    Ndugu yangu mimi sikushangai lakini naomba utambue kwamba vyuo vikuu huwezi kuvitenganisha na siasa viwe vya binafsi au umma, University ni sehemu za wasomi na watu waliokomaa wanaojiandaa kwenda kuchukua majukumu ya taifa lao, Siasa za vyuoni au maarufu kwa kimombo College/University politics...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

    Yani naona aibu hata kujiuzuru maana nilikuwa kinara wa mapambano ya kuingiza serikali hii madarakani, ngoja niwemo tu mpaka mwisho, alafu ukizingatia effect yangu ni ndogo kwenye serikali yenyewe heri hata ningekuwa Waziri mkuu.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

    Yani eti mtu akinyimwa mfupa anakimbilia upinzani na ku-sabotage waliopo madarakani.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

    Sasa tutadili vp!? wakati saivi ni bora liende liwalo na liwe muda uishe wachukuwe wanasiasa wengine, kwanza kwenda bodi penyewe hadi pachimbike nani aende! basi tu!
  10. O

    JamiiForums Tanzania Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

    Yani Braza watu hawana imani na sisi wanatuona wauza sura tu, hatuna agenda ya kiubunifu kuonyesha japo la kukumbukwa na wanafunzi wenzetu.
  11. O

    JamiiForums Tanzania Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

    Yani Braza watu hawana imani na sisi wanatuona wauza sura tu!
  12. O

    JamiiForums Tanzania Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

    Kumbuka what goes around comes around kama vijana waliahidi lazima wawe answerable, nakumbuka walivyoluwa busy kuwatupia mawe wenzao waliotangulia kwa tuhuma za ubadhirifu na Ngono.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

    Hali huwa ni hii hii katika siasa watu kuahidi mambo lukuki na kushindwa kuyatekeleza na wakati unakuja wanatakiwa wajibu kwanini wameshindwa wanaleta siasa poleni vijana.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

    Lakini kwanini watu wameshindwa kuona tofauti na kuiona Serikali ya Malisa ni bora mara mia ile ya Mataba? Mbona tuliahidi Stand Mpya vitu vinavyohitaji initiative kidogo imeshindikana, sasa inamaana Tungaraza alikuwa ni bora kuliko Malisa!? kama alikuwa na moyo wa kutumikia umma kwanini kitu...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Wana saut tumeliwa tena kwa mara nyingine na tuliowaamini:

    Malisa Godlisten Rais wa Serikali ya WanafunziSAUTSO Chuo kikuu cha St Augustine umetudharirisha mpaka tunaona aibu sasa na vuguvugu la Chadema, tena tuliingia kwa mbwembwe kali kuwa tutakuwa wakombozi wa watu, waliotuchagua kwa kura nyingi richa ya kuwepo nguvu kubwa ya viongozi waliotangulia...
Back
Top Bottom