Hapo ndipo mnapoonekana wachanga mno.
Huyo Yohana unayetolea mfano uliambiwa alikuwa anahubiri akiwa ameshika Biblia?.
Labda nikufundishe.
Yesu hakuwahi kuagiza injili itangazwe kupitia Biblia.
Mababa wa Kanisa ambao ni wengi mno tofauti na hao ulioambiwa na Wakatoliki kupitia Biblia,walikuwa...
Ukishajua uliletewa Biblia na wakatoliki umepona.
Biblia ni Kitabu Cha kufundishia kilichobuniwa na Wakatoliki Kwa ajili ya kusaidia(supporting) kufundisha Imani ya Kanisa Katoliki.
Mitume na mababa wa Kanisa walitangaza neno la Mungu bila uwepo wa Biblia.
Wakristo nao walikuwa wanawasikiliza...
IFAHAMU IDADI NA MAJINA YA MAPAPA (BABA WATAKATIFU) KUTOKA PETRO HADI BABA MTAKATIFU FRANSISKO KATI YA MWAKA 33 A.D - 2022
Orodha ya Mapapa
1. St. Peter (33-67)
2. St. Linus (67-76)
3. St. Anacletus (Cletus) (76-88)
4. St. Clement I (88-97)
5. St. Evaristus (97-105)
6. St. Alexander I...
ACHA kushupaza shingo.
Vile ni vipimo vya Imani TU.
Vipo vingi kwenye Biblia.
Unaambia Fanya hivi utakuwa hivi.
Ile sio ibada.
Hata Nabii Elisha alimwambia Naamani akaoge Yordani apate kupona.
Huwezi kusema eti kuoga Yordani ilikuwa ni ibada ya Sanamu.
Kazi kweli kweli.
Kwa hiyo mchungaji kawafundisha kwamba pale alipoinuliwa nyoka wa Shaba waisrael walikuwa wanamwabudu yule nyoka badala ya Mungu?
Au walikuwa wanaabudu nyoka na Mungu Kwa wakati mmoja?.
Ile Sanamu ya Nyoka ndio ilikuwa Mungu wao kipindi hicho wakawa wanaabudu?.
Tuliza...
Nimetaja hekalu kama kiwakilishi Cha sehemu rasmi ya ibada.
Pale mtini alipotundikwa Nyoka hapakuwa sehemu rasmi ya ibada wala makuhani hawakuwa wanapatumia kuondolea watu dhambi.
Yesu ni kuhani mkuu anayefanya kwa mfano wa makuhani wa enzi za kale Kwa kuwaondolea watu dhambi.
Kusema Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.