Wazo ni zuri maana nimeshuhudia wengi wakija mtaani wanarudi tena hii yote kwasababu wanakuja mtaani hawana pakuanzia wengine jamii ina watenga
Serikali ingeweka mfumo wakuwalipa ukiachana na kuwawekea fungu katika kila kaz watakayi fanya hata 5000 au 3000 kwa siku sio mbaya pesa hiyo anapewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.