bus ipo bandarini, imetokea japan, kumbuka gari iliyotumika mwaka mmoja bongo ni sawa na iliyotumika miaka zaidi ya 15 japan. tanzania barabara mbovu, uendeshaji ni wa rafu barabari, usifananishe na japan.
pia kwa faida tu watu wanaangalia mileage au kilometer bus iliyotumia.
hii ina 120,000...
basi linauzwa,
hino rainbow, 1988 reg
26 seater,
3899 cc
manual
ushuru ni juu ya mnunuzi,
ipo bandarini, mwenyewe ameshindwa kuitoa na ndio maana anaiuza
bei milioni 18 tu.
Piga simu 0712816161
au +60192243902
libaba PM
BE FORWARD NDIO MWISHO WA MATATIZO TANZANIA. RELIABLE, CHEAP AND FAST IN SHIPPING,
visit Japanese Used Cars | BE FORWARD
kama link haikubali copy and paste to browsing bar. OPA CIF FROM $1,700, POB FROM $400
OFISI ZAO ZIPO OCEAN ROAD OPPOSITE NA OCEAN ROAD HOSPITAL DAR ES SALAAM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.