Recent content by Omi J

  1. O

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna ulazima gani wa kuweka kitengo Halamashauri ambacho watumishi wake hawakai ofisini

    Hapa ni Halmashauri ya Mji wa Nzega. Tumeshakwenda kama mara mbili hivi kwenye Ofisi ya Biashara, lakini hatukumkuta mtu. Tulikuwa na tatizo la Business Licence, tukaambiwa twende kwenye Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Nzega. Tukaenda siku ya Ijumaa mida ya saa tano, lakini tulipofika kwenye...
Back
Top Bottom