Mimi nashangaa kwa nini huyu bwana hachukui fomu ya kuwa rais. Hapa nina maana ya kwamba huyu bwana anatakiwa awe rais wa Tanzania na hapo ndo tunaweza at least kuwa na ndoto ya maisha bora. Namshangaa kikwete kumpa wizara za ajabu ajabu lakini bado twaona mambo anayofanya. Sijui ni kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.